Monday 7 May 2018

Rita Ora aelezea machungu aliyoyapata Roc Nation



Rita Ora adai Roc Nation ilimtenga Kwa sababu alikuwa Mwanamke: "Ningekuwa na mbali na roc Nation Kama Ningekuwa mwanaume" hayo ni maneno aliyosema mwanadada huyo.

Miaka miwili tu baada ya msanii RitaOra kufutiwa mkataba na lebo ya Roc Nation inayomilikiwa na Jay Z,mwanadada huyo ameibuka na kuelezea sababu zilizompelekea kufuta kesi dhidi ya ROC Nation.

Ora aliiambia gazeti la Sunday Times, "na labda hii ni tafsiri yangu, lakini ninahisi kuwa nimechunguzwa kwa sababu nilikuwa mwanamke." .

"Nilihisi karibu - labda hii ni tafsiri yangu tu - ningeweza kuwa na nafasi nzuri kama ningekuwa wakiume," Ora aliendelea, akiongeza kuwa ameacha kufanya kazi na dada yake mkubwa, Elena.

0 comments:

Post a Comment