Sunday 6 May 2018

'Ubusy' wa WCB wamkosesha raha Nyanshiski


Mwimbaji na Rapper kutoka Kenya, Nyashinski amefunguka sababu ambazo zinamzuia kufanya kazi na wasanii wa label ya WCB kutoka Tanzania.

Akizungumza na BBC, Nyashinski alisema kuwa na kazi nyingi kwa wasanii hao ndio kikwazo kikubwa kwake, "Ningependa sana kufanya kazi na wasanii wa Wasafi... lakini wako Busy sana." alisema Nyashinski.

0 comments:

Post a Comment