Sunday 6 May 2018

Daraja la Magufuli limekuwa neema kwa wana kilombero



Serikali kupitia Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa imetangaza mabadiliko ya jina katika Mto Kilombero

Prof. Mbarawa amesema kuanzia sasa Daraja la Mto Kilombero litaitwa Daraja la Magufuli

Hayo yamesemwa leo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akilizindua daraja hilo

0 comments:

Post a Comment