Monday 7 May 2018

Wanawake Israel waandamana wakipinga unyanyasaji wa kijinsia



Zaidi ya wanawake 5,000 waandamana bila ya kuvaa kitu katika vifua vyao wakipinga unyanyasaji wa kijinsia

Wanawake hao wamepaza sauti kukemea ubakaji na mfumo wa utoaji haki(Mahakama) unaoonekana kuwakandamiza

Aidha Wanawake hao wamelalamikia manyanyaso wanayoyapata kutoka na mavazi wanayovaa

0 comments:

Post a Comment