Saturday 26 May 2018

Will Smith arudi rasmi kimziki


Baada ya kukaa muda mrefu bila kutoka rap yeyote ,Mwigizaji,Rapa Will smith atangaza kurudi katika safu ya muziki wa Hip Hop.

Amethibitisha hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo ameandika Teyari amerudi studio kwa ujio wake mpya kimuziki.

Gettin’ back in the studio. Just warmin’ Up.

Will Smith ambaye alianza ku'rap toka mwaka 1985 -1992 akiwa chini ya lebo ya Jive Records akitambulika kama "The Fresh Prince".



Mwaka 1993-2006 aliagana na lebo ya Jive records na kuwa 'Solo Artist' hadi kipindi hiki ambacho anarudi tena.

Hizi ni kati ya ngoma zilizomfanya Will Smith kujulikana na kupendwa zaidi Duniani. -Men In Black (1997)
-Just Cruising
-Big Willie Style
-Getting jiggy wit it
-Wild Wild West (1999)
-Enemy of State - Boom Shake

0 comments:

Post a Comment