Saturday 16 June 2018

Cardi B na Offset kwenye cover la Rolling Stone magazine .


Baada ya picha yao kuvuja gazeti maarufu la Rolling Stone wameachia cover ya gazeti hilo iliyopaswa kutoka mwezi Julai mwaka huu ikiwahusisha Offset na mpenzi wake Cardi B ambae ni mjamzito.

Cover hiyo ilivuja lakini Cardi B anajivunia kuwepo kwenye cover ya gazeti hilo na mpenzi wake Offset
"I guess it was too much to ask to wait until the official July release of our @rollingstone cover! This cover is so special to me and means so much! Thank you to everyone who helped put this amazing cover together! Even tho it was leaked and suppose to be In gray fuck it 🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️My daughter made it to the Rollin Stone cover !!!! Official release in July.You can’t ruined what’s for me ❤️❤️❤️❤️ROCKSTARS @offsetyrn"
.
.

0 comments:

Post a Comment