Saturday 16 June 2018

Rich The Kid Amelazwa Hospital


Mapema jana  Rapper Rich The Kid akiwa nyumbani kwake Los Angeles amepumzika na mpenzi wake Tori Brixx alivamiwa na watu wawili ndani wakiwa wamevaa mask usoni wakitaka pesa na thamani zake. Inasemekana Rich alitaka kupigana nao na ndipo wakaongezeka wanaume wengine wawili wakiwa na bunduki mkononi na kumvamia na kuanza kumpiga.

Police walifika eneo la tukio baada ya wezi kufanikiwa kuondoka na pesa na baadhi ya mikufu ya Rich The Kid. Kwa sasa Rich Yupo hospital anaendelea na matibabu. .

Source : #Tmz

0 comments:

Post a Comment