Thursday 21 June 2018

Instagram kuwapiku Youtube kwenye urushaji video



Mtandao maarufu wa Instagram umezindua  IGTV , feature mpya itakayo kuwezesha kupakia (Upload) video zitakzomudu kufika kwa muda wa Saa 1.

Kwenye mkutano uliomalizika muda mchache, Mkurugenzi wa mtandao huo kevin ameweka wazi mtumiaji wa Instagram sasa anaweza kuipata feature hiyo aki-update App yake. Mtu yeyote (creators) atakuwa na uwezo wa kutengeneza Chaneli yake, kisha followers wake wakapata nafasi ya kutazama chochote ambacho atakipakia.

0 comments:

Post a Comment