Thursday 21 June 2018

Soldier Kidd, Soldier Jojo wakanusha kuhusika na kifo cha XXX Tentacion.


Siku ya jumatatu Dunia ilipoteza msanii mdogo kwenye mziki wa Hip Hop, baada ya XXX Tentacion kupigwa risasi akiwa ndani ya gari Miami. Kwa mujibu wa #TMZ police wanasema watu wanaoshukiwa kufanya mauaji mpaka sasa ni wanaume wawili walivaa hoodies nyeusi na mask nyekundu usoni na uchunguzi unaendelea ili kuwabaini.

Baada ya taarifa hiyo vijana wawili kutoka Florida na pia ni wasanii chipukizi kwenye mziki wa Hip Hop nchini Marekani, Soldier Kidd na Soldier Jojo ndio watu wanaotuhumiwa mitandaoni kuhusika na kifo cha XXX Tentacion. Rappers hao walipost picha Instagram wakiwa kwenye gari na mask nyekundu pamoja na risasi dakika chache kabla ya kifo cha XXX

Soldier Kidd kabla ya kifo cha XXX Tentacion alipost picha Instagram akiwa amenunua chakula Deerfield Beach sehemu ambayo sio mbali na duka la pikipiki alipopigwa risasi XXX Tentacion ni kama muda wa dakika 6 tu unatumia ukitembea kwa mguu.

Soldier Kidd na Soldier wamekanusha kuhusika na Kifo cha XXX na kudai hawamtambui na wala hawajui chochote kuhusu XXX baada ya rumors kuendelea mitandao wao kuhusika na kifo cha XXX.
.
“Man we all got love for the Florida nigga. I got love for Broward. I don't even know who the man was. We out here handling business. We out here getting money bro. We aint go no time for none of this shit that’s going on. But listen, all my condolences go to the man’s family and what not,” Soldier said. “I ain’t have nothing to do with it.”

0 comments:

Post a Comment