Friday 15 June 2018

Wizkid akanusha uvumi wa kutumbuiza kombe la Dunia



Wizkid amekanusha taarifa za kuwa atatumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi wa Kombe la Dunia

Kupitia mtandao wa Twitter, Wizkid aikuwa akimjibu shabiki aliyeuliza kama anatumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi wa kombe la dunia “Nah Fam, but good luck to our boys”

Mapema ziliibuka tetesi kuwa staa huyo wa Nigeria angetumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi aa kombe la dunia

0 comments:

Post a Comment