Monday 9 July 2018

Album ya "Scorpion" ya Drake imefikisha streams billion 1



Album ya "Scorpion" ya Drake imekua album ya kwanza kufikisha streams Billion 1 Duniani ndani ya wiki moja na pia ndio album inayoongoza kuwa na idadi kubwa ya streams kwa muda mchache USA kwa kufikisha streams million 750, record iliyokuwa inashikiliwa na Post Malone kupitia album ya "Beebongs & Bentleys" kwa Streams million 431 ndani ya wiki.

Hizi ndio album zenye namba kubwa ya streams katika wiki ya kwanza zilipotoka.
.#01 Drake - Scorpion (750 Million)
#02 Post Malone - Beerbongs & Bentleys (431.3 Million)
#03 Drake - More Life (384.8 Million)
#04 Kendrick Lamar - DAMN. (340.6 Million)
#05 J. Cole - KOD (322.7 Million)

0 comments:

Post a Comment