Monday 9 July 2018

Billboard 200 (Top 10 Albums of This Week)


Album ya "Scorpion" ya Drake imeshika nafasi ya kwanza kwenye Billboard 200 wiki hii baada ya kuuza nakala 732,000 ndani ya wiki moja, ikiwa nakala 160,000 ndio pure sales na 572,000 ni kutokana na streams katika digital platforms kama Spotify, apple nk.

Album ya "Scorpion" ndio album iliyopata mauzo makubwa ndani ya wiki 1 kwa mwaka 2018.

0 comments:

Post a Comment