Friday 20 July 2018

Sophie Alakija akataa kuitwa Ex-girlfriend wa Wizkid



Mrembo Sophie Alakija kutoka nchini Nigeria, hataki mashabiki na media kuendelea kumuita Ex wa Wizkid kwa sababu ameshaolewa na tayari ana familia, Sophie alifunguka na kutoa onyo hiyo wakati anafanya interview na moja ya kituo kikubwa cha TV nchini Nigeria.

Sophie msichana mrembo mwenye asili ya Lebanon, miezi kadhaa iliyopita alipata ajari ya gari. Sophie ndio mwanamke wa kwanza wa Wizkid kuwekwa wazi katika public na alishawahi kutokea kwenye video ya wizkid ya "Holla At Your Boy", Sophie aliolewa na Wale Alakija March 27, 2016 na kufanikiwa kupata mtoto mmoja.

0 comments:

Post a Comment