Kwa mujibu wa mtandao mmoja jijini Chicago uliripoti kuwa Chance ataachia album mpya wiki hii, ikiwa ni album ya kwanza tangu 'Coloring Book' ya mwaka 2016.
Kwenye mazungumzo na mtandao huo Chance alithibitisha pia kuwa, ataiachia album hiyo wakati wa onesho lake la maadhimisho ya miaka kadhaa ya Olimpiki Julai 21, 2018. Lakini kupitia tweet hiyo, amekanusha na kuongeza kuwa kwa sasa yupo studio akifanyia kazi baadhi ya vitu.
Recently, Chance The Rapper amethibitisha kuingia studio na Kanye West kuitayarisha album yake nyingine yenye ngoma 7.
0 comments:
Post a Comment