Friday 6 July 2018

Chris Brown anunua ndinga jipya lisiloingia risasi



Msanii wa muziki wa RnB chris brown amenunua gari mpya aina ya SUV yenye uwezo wa kuzuia Risasi (Bullet Proof) kuingia.

Gari hiyo ya SUV yenye thamani ya dola za kimarekank $350,000 sawa na milioni 790 za Kitanzania linauwezo wa kuzuia risasi na kupita katika makorongo makubwa bila hata kuyumba.

0 comments:

Post a Comment