Mechi za hatua ya nusu fainali
kwenye michuano ya kombe la dunia zinaanza leo kwa mechi moja
itakayopigwa mjini St. Petersburg kati ya timu ya taifa ya Ubeligiji na
timu ya taifa ya Ufaransa.
Mechi hiyo itapigwa majira ya saa tatu za usiku kwa saa za Afrika Mashariki ambapo mshindi baina ya timu hizo mbili atafuzu mechi ya fainali itakayopigwa jumapili dhidi ya mshindi wa mechi nyingine ya nusu fainali itakayopigwa kesho kati ya timu ya taifa ya Uingereza na timu ya taifa ya Croatia kwenye uwanja wa Luzhniki mjini Moscow.

0 comments:
Post a Comment