Tekashi69 amkumbuka rapa #xxxtentacion baada ya kunusirika kifo jana .
Kupitia ukurasa wake wa Instagram @6is9ine_ ameandika ujumbe ulioambatana na picha ya marehemu #xxxtentacion aliyeuwawa mwezi mmoja uliopita.
Katika ujumbe huo
@6ix9ine_ ameandika kuwa amenusurika kifo kutokana na Mungu kumsaidia la sivyo asingekuwepo, pia anashukuru kuwa bado ana uwezo wa kumuona binti yake pamoja na mkewe.
.
0 comments:
Post a Comment