Thursday 5 July 2018

TETESI: Cristiano Ronaldo kutimkia Juventus



Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la habari za Michezo la Sky Sports limedai kuwa Klabu ya Real Madrid inafikiria kupokea kitita cha karibu Paundi Milioni 88 kutoka klabu ya Juventus ili kumuuza mchezaji wake nyota, Cristiano Ronaldo

Inadaiwa kuwa hadi sasa Madrid haijakubali wala kukataa ofa hiyo kutoka kwa miamba hiyo ya soka ya Seria A, hivyo chochote kinaweza kutokea.

Aidha, pamoja na Ronaldo kuwa na umri wa miaka 33 inaaminika kuwa bado atahitaji mshahara mkubwa sana

0 comments:

Post a Comment