Thursday 5 July 2018

Dbanj Thanks Everyone That Supported His Family


Blogged by @silverracca

 Popular Nigerian musician, Oladapo Daniel Oyebanjo, maarufu kama Dbanj, ametoa shukrani kwa kila mtu aliyemfariji katika msiba wa mtoto wake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram D Banj aliandika

“We want to use this medium to thank everyone that has extended a hand of supported to us during this period. On behalf of myself and my family, we are awed by the demonstration of love and care from both near and afar"

D Banj alimpoteza mwanae Daniel III aliyezaa na mkewe Didi akiwa na umri wa mwaka mmoja tu. D Banj alifunga ndoa na girlfriend wake wa muda mrefu anaejulikana kwa jina la Didi, na ndoa kusherehekewa katika mji wa Lagos na Abuja.
.
.

0 comments:

Post a Comment