Friday 13 July 2018

The Game amtabiria Kim Kardashian kuwa rais wa 2020


Rapa kutoka nchini Marekani, Jayceon Terrell a.k.a The Game akizungumza na mtandao maarufu wa TMZ amesema kuwa mwanamitindo Kim Kardaahian West anafaa kugombea urais 2020 kutokana na kuwa na vigezo vyote.

Kim Kardashian ambaye miezi kadhaa aliweza kukutana na Rais wa Marekani Bilionea Donald Trump na kuzungumza nae juu ya sheria ya magereza na usalama ambapo alifanikiwa kwa asilimia kubwa kumshawishi kiongozi huyo.

0 comments:

Post a Comment