Friday 13 July 2018

Dangote anahitaji mke


Tajiri namba moja Afrika kutoka nchini Nigeria, Aliko Dangote mwenye umri wa miaka 61 ametangaza kuwa anaitaji mke wa kuoa wakati akifanya mahojiano na Financial Times. Billionaire huyo ameshatoa talaka mara mbili na ana watoto watatu wa kike.

Dangote bado anajiona yuko sawa kupata mke na umri alionao "I’m not getting younger. Sixty years is no joke" alisema Dangote.

Pia Dangote aliongeza kwa kusema
"But it doesn’t make sense to go out and get somebody if you don’t have the time. Right now, things are really, really very busy, because we have the refinery, we have the petrochemicals, we have the fertiliser, we have the gas pipeline.”
.

0 comments:

Post a Comment