Rais mteule, Emmerson Mnangagwa aapishwa rasmi kuliongoza taifa hilo mapema jana.
Emmerson Mnangagwa alitangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi uliofanyika Julai 30 mwaka huu
Mnangagwa alimshinda mgombea wa upinzani kupitia chama cha Movement for Democratic Change(MDC), ndugu Nelson Chamisa
Katika uchaguzi huo Mnangagwa kupitia chama kikongwe cha ZANU-PF alipata asilimia 50.8 ya kura zote huku Nelson Chamisa akipata asilimia 44.3 ya kura zote
0 comments:
Post a Comment