Thursday 9 August 2018

Waziri mkuu mstaafu wa Argentina ahukumiwa kifungo cha miaka 5



Makamu wa Rais Mstaafu, Amado Boudou ahukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 5 na miezi 10 jela baada ya Mahakama kumkuta na hatia katika mashtaka ya rushwa
-
Bwana Boudou aliyekuwa madarakani kuanzia mwaka 2011 hadi 2015 pamoja na Rais Cristina Fernandez amezuiwa kushika nafasi yoyote ya kiuongozi katika ofisi za umma
-
Hukumu hiyo pia imeambatana na kutakiwa kulipa faini ya kiasi cha Shilingi za Kitanzania, Milioni 7,329,367.26
-
Makamu huyo wa Rais Mstaafu akiwa madarakani alijipatia faida kubwa isivyohalali baada ya kuipa tenda kampuni binafsi ya Ciccone ya kuchapisha fedha za nchi hiyo
-
Shauri hili lilianza kusikilizwa mnamo mwaka 2012 ambapo mara kadhaa, bwana Boudou alikana mashtaka haya

0 comments:

Post a Comment