Makocha wa timu kubwa barani
Ulaya wamekitaka chama cha mpira barani humo (UEFA) kufanya mabadiliko
ya kanuni ya faida ya magoli ya ugenini katika michuano ya ligi ya Ulaya
(EUROPA LEAGUE).
Makocha hao pia wamependekeza msimu wa usajili uhitimishwe kwa wakati mmoja katika ligi zote kubwa za Ulaya.
Kanuni ya faida ya goli la ugenini ilianzishwa mwaka 1965 kama mbadala wa kurusha sarafu ama kuandaa mechi ya marudiano katika uwanja huru (usio wa timu yeyeote shindani) pale ambapo matokeo ya mechi mbili za timu zinazoshindana yanapokuwa sare.
Pia makocha hao wamependekeza kuwa dirisha la usajili limalizike kwa wakati mmoja katika ligi zote kubwa barani humo.

0 comments:
Post a Comment