Timu ya taifa ya Wales
imeifunga bila huruma timu ya taifa ya Ireland magoli 4-1, Gareth Bale
amefunga moja kati ya magoli hayo manne na kufikisha jumla ya magoli 30
katika timu hiyo.
Uholanzi nayo imeichezesha mchakamchaka Peru na kuibuka na ushindi wa magoli 2-1.
Ureno wakicheza bila Christiano Ronaldo, wamelazimika kumtumia Pepe kusawazisha goli dakika ya 32 baada ya Ivan Perisic kutangulia kuwafungia Croatia katika dakika ya 18. Hadi mwisho wa mchezo, Ureno imetoka sare za Croatia ya goli 1-1.

0 comments:
Post a Comment