Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mjumbe wa kamati kuu wa Chadema ,Mhe. Edward
Lowassa amewaasa Watanzania mwaka 2018 wakatae kugawanywa kwa namna
yoyote ile na wawe na ushirikiano. Lowassa kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika hayo na kuwatakia Watanzania kheri ya mwaka mpya wa 2018.
“
Tunapouanza mwaka huu mpya niwaombe watanzania wenzangu tukatae kugawanywa kwa sababu yoyote ile.“ameandika Mhe. Lowassa na kuwatakia Watanzania kheri ya mwaka mpya “
Umoja na mshikamano ndio nguzo yetu. Nawatakia Heri na Fanaka ya mwaka mpya 2018.”
0 comments:
Post a Comment