Mshambuliaji
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Cedric Bakambu amekamilisha
uhamisho kuhamia klabu ya Beijing Guoan ya China na kuwa mchezaji ghali
zaidi kutoka Afrika kwa sasa.
Klabu hiyo ya ligi kuu ya soka nchini Uchina, haijatangaza hadharani
kiasi cha pesa alizonunuliwa mwanasoka huyo mwenye umri wa miaka 26.
Lakini imesema ni zaidi ya dola milioni 90 za Marekani.
0 comments:
Post a Comment