Chama cha soka England FA jana
kimetangaza rasmi kufikia maamuzi ya kuwaomba msamaha wachezaji Chris
Smalling wa Manchester United na mshambuliaji wa Tottenham Hotspurs
Harry Kane kufuatia tweet yao waliyoipost kupitia account yao ya twitter
kutafsirika tofauti.
FA wameomba radhi kufuatia ujumbe wao waliopost baada ya mchezo wa
nusu fainali ya FA kati ya Tottenham dhidi ya Man United uliyomalizika
kwa Man United kupata ushindi wa magoli 2-1, ambapo ujumbe huo
unatafsirika kama ulimkosea heshima Harry Kane na Smalling.
0 comments:
Post a Comment