Saturday 28 April 2018

Iniesta atangaza kuondoka Barcelona



Kiungo mchezeshaji wa klabu ya Soka ya Barcelona, Andres Iniesta(33) ametangaza kuondoka klabuni hapo ifikapo mwisho wa msimu huu 2017/18

Mchezaji huyo raia wa Uhispania aliyeichezea klabu hiyo kwa miaka 22 na kushinda mataji 31 amesema hataweza kucheza dhidi ya Barcelona atakapoondoka klabuni hapo

Iniesta maarufu kama 'Magician' ni mchezaji pekee kuwahi kuwa mchezaji bora(Man of the match) katika fainali ya EUROs, fainali ya Kombe la Dunia na fainali ya Klabu Bingwa Ulaya

0 comments:

Post a Comment