Baada ya kushika soko katika mauzo ya simu sasa kampuni ya simu za IPhone,Apple imeanza kutangaza gari ambalo watalizindua mwaka 2020 ili kukimbizana na soko la biashara ya magari.
Kwa mujibu wa msemaji wa kampuni ya Apple ameiambia mtandao wa biashara wa Bloomerberg kuwa gari hilo litakuwa na teknolojia mpya uhususani katika maswala ya utumiaji wa alama za vidole katika kuliwasha na kufungua.
0 comments:
Post a Comment