Wednesday 11 April 2018

MARK ZUCKERBERG AKIRI MAKOSA MBELE YA BUNGE,MAREKANI



Mmiliki wa mtandao wa Facebook,Mark Zuckerberg leo amefika mbele ya kamati ya maadili katika Bunge la Marekani baada ya kuhusishwa na utoaji taarifa kwa nchi ya Urusi.

Hatahivyo tajiri huyo kijana alikiri makosa na kudai kuwa inaweza kuwa ni kazi yao binafsi.

Ikumbukwe kuwa wiki mbili zilizopita mtandao wa Facebook uliingia kwenye kashfa kubwa ya kujihusisha na uhalifu wa kimtandao.

0 comments:

Post a Comment