Monday, 14 May 2018

Barcelona yalazwa 5-4 na Levante


Barcelona imefungwa kwa mara ya kwanza kwenye ligi kuu ya Hispania na kuharibu rekodi ambayo ilikuwa ya kipekee licha ya kuwa tayari ni mabingwa. 
 
Barcelona ambayo haikuwa na Messi ilifungwa magoli 5-4 na Levante katika mechi yake ya 37 na ikiwa imesaliwa na mechi moja mkononi.

Mechi za mwisho katika ligi kuu ya Hispania itakuwa Mei 20 na 21 ambapo Barcelona itacheza dhidi Real Sociedad.

0 comments:

Post a Comment