Monday 28 May 2018

Cleveland Cavaliers waibukawashindi 'Eastern Conference' Game 7



Timu ya Kikapu ya Cavaliers imeweza kuwagalagaza Boston Celtic kwa jumla ya vikapu 87-79 na kuweza kukamilisha series kuwa 4-3

Ushindi huo unaifanya Cavs kuwa washindi ndani ya Eastern Conference na kuingia katika NBA Finals za mwaka 2018 na timu mojawapo ya Kikapu kutoka Western Conference.

Kinara wa mchezo huo @kingjames #LebronJames ameweza kupata jumla ya point 35,Reb 15 na Ast 9

0 comments:

Post a Comment