Monday 28 May 2018

Drake 'amdiss' Push T ndani ya 'I'M Upset'



Drake ameachia nyimbo mpya "I'm Upset" ikiwa ni masaa 24 tu yamepita baada ya kuachia "Duppy Freestyle" ambayo ni diss track kwa Pusha T na Kanye West.

Nyimbo hii inatoka kwenye album yake mpya "Scorpion" inayotarajiwa kuachiwa mwezi June mwaka huu, wakati ngoma zake "God's Plan" na "Nice For What" zikiwa bado za moto na zimeshakamata nafasi ya kwanza kwenye Billboard Hot 100.
.
Producer wa Drake, Jazzfeezy ameahidi kutakuwa na ngoma kali kwenye album ya "Scorpion" kwa sababu album inaandaliwa kipindi ambacho kuna rap beef nyingi kwenye mziki na Dunia nzima inafahamu yeye ni mkali kwenye kutengeneza na kupangilia diss track.
 

VIPANDE VYA NGOMA HIYO
Yeah
I'm workin' on dyin'

[Chorus]
I'm upset
Fifty thousand on my head, it's disrespect
So offended that I had to double check

I'ma always take the money over sex
That's why they need me out the way
What you expect?


[Verse 1]
Got a lot of blood and it's cold
They keep tryna get me for my soul

Thankful for the women that I know
Can't go fifty-fifty with no ho
Every month, I'm supposed to pay her bills
And get her what she want

I still got like seven years of doin' what I want
My dad still got child support from 1991
Outta time, people love to pop a lot of shit then come around
Word to Flacko Jodye, he done seen us put it down
Niggas askin' if I'm cool


[Chorus]
I'm upset
Hunnid thousand on my head, it's disrespect
So offended that I had to double check

0 comments:

Post a Comment