Wednesday 23 May 2018

Jimmy Foxx 'host' tuzo za BET



Waendeshaji wa tuzo kubwa Duniani za BET AWARDS wamtangaza mwigizaji Jimmy Foxx kama mshehereshaji katika tuzo hizo.

Jimmy Foxx amechukua nafasi ya aliyekuwa mwendeshaji wa tuzo hizo mwaka 2017 mcheza Kikapu Leslie Jones.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa @BET wamethibitisha kuwa mwigizaji huyo kuongoza jahazi katika tuzo hizo.

0 comments:

Post a Comment