Friday 25 May 2018

MAREKANI-Mhudumu wa maabara kizimbani kwa kufanya ngono na maiti



Huko nchini Marekani katika jimbo la Kansas Mhudumu wa Kike wa Maabara mwenye umri wa miaka 26 amefikishwa Mahakamani kwa kosa la kufanya ngono na maiti

Mwanamke huyo alitakiwa kuzifanyia uchunguzi maiti hizo lakini imethibitika kuwa alishiriki nazo ngono na hatimaye akapata ujauzito

Hata hivyo, Marekani haina sheria inayokataza kufanya ngono na maiti, hivyo mwanamke huyo atashitakiwa kwa shambulizi dhidi ya maiti

Wataalamu wa mambo ya akili wamedai kwamba mwanamke huyo anasumbuliwa na tatizo la kisaikolojia katika masuala ya ngono.

0 comments:

Post a Comment