Friday 25 May 2018

Sauti kufifia yamnyima usingizi msanii SZA



 SZA ambae ni msanii wa kike pekee kutoka kundi la DE (Top Dawg Entertainment), hatakuepo katika tour ya TDE Kutokana na sauti yake kukauka na atapumzika kwa muda wote wakati tour ya label hiyo ikiendelea.
.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram SZA aomba radhi kwa mashabiki kwa kutokuepo katika tour na kuweka wazi tatizo lake.


 "For anyone who hasn’t seen this . I’ve been touring for 11 months. This didn’t happen overnight . Ive been troubleshooting for a while now and Usually steroids and pushing through help. They don’t this time . I’m not sick my voice just won’t fucking work😔 🤷🏾‍♀️. If I don’t pause now I’ll be forced to pause permanently . I’m genuinely sorry for every face,voice ,and energy field I won’t be touching ! I’m literally taking as many steroids as I can to speed this up!! Its a waiting game and super weird to be blamed for stuff outta my control but I get it ! again .. I’m sorry..I’ll be right back . Pray for me or don’t . Preciate u either way ❤️-S"

0 comments:

Post a Comment