Monday 18 June 2018

Jay Z azigomea fainali za SuperBowl mwaka huu



Fainali za #SuperBowl ndio “program” ambayo hutazamwa zaidi kwenye Tv, kila mwaka waandaji humpa msanii heshima ya kutumbuiza kwenye halftime ya fainali hizo, ila kwa JAY-Z sio issue kubwa


Kwenye album mpya ya The Carterz kuna nyimbo inaitwa “Apesh**” #JAYZ anathibitisha kuwa alipiga chini ofa ya kutumbuiza kwenye fainali hizo, anasema “I said no to the Superbowl
You need me, I don't need you
Every night we in the endzone
Tell the NFL we in stadiums too”

Pia kama unadhani JAY-Z alichukulia poa tuzo za Grammy mwaka huu baada ya kumtaja kwenye vipengele 8 (alikuwa msanii anayeongoza kwa nomination) na kutoka patupu basi umekosea, amewadiss na wao kwenye hii ngoma, amesema “Tell the Grammy's f**k that 0 for 8 shit
Have you ever seen the crowd goin' apesh*t?”

0 comments:

Post a Comment