Tuesday 19 June 2018

Tetemeko la ardhi laibuka Mexico baada ya ushindi kombe la Dunia



Ushindi wa Mexico dhidi ya Ujerumani (1-0) wasababisha tetemeko la kutengenezwa nchini Mexico.

Hayo yametokea baada ya wachunguzi wa matetemeko nchini humo kutoa taarifa ya tahadhari huku ukweli ukiwa ni baada ya goli lililofungwa na Hirving Lozano dakika ya 35.

Furaha ndio moja ya chanzo cha tetemeko na hii ni kutokana na wananchi kuruka kwa asilimia kubwa.

0 comments:

Post a Comment