Tuesday 19 June 2018

Duka la vitabu laibua makubwa baada ya kuondoa Cover za vtabu kunasa wateja



Duka moja la vitabu huko Newton, Australia linatumia utaratibu wa kuficha cover za vitabu ili wanunuzi wasi “Judge a book by it’s cover” kabla ya kununua

Duka la Elizabeth Bookshop, hufunika cover za vitabu na karatasi ambalo limeandikwa jina la kitabu na jina la mwandishi tu, kila kitabu huwekewa tag iliyoandikwa “A blind date with a book”

Wanaamini watu wengine wanaweza kuacha kununua vitabu vizuri tu kwasababu ya cover za vitabu hivyo

0 comments:

Post a Comment