Story kubwa USA siku ya leo ni kuhusu mwanamke kujifungua katika mgahawa maarufu wa kifaransa nchini humo Chic-Fil-A katika jiji la Texas. Falon Griffin na mumewe Robert Griffin walifika katika mgahawa huo saa 4 usiku ambapo mgahawa huo ulikua ushamaliza Kuuza na walikua wanafunga, lakini mwanamke aliomba kuingia na kwenda chooni kujisaidia, alipata ruhusa ya kuingia na alipofika chooni zilikika kelele akilia.
Wahudumu walipoenda walimkuta mwanamke huyo anajifungua na mumewe aliitwa aingie ndani, baada ya kufanikiwa kujifungua Manager wa mgahawa huo alitoa ofa kwa mtoto kula chakula bure Chic-Fil-A maisha yake yote na kumpatia ofa ya kazi akifika miaka 16.
.
0 comments:
Post a Comment