Saturday 21 July 2018

New Couple Alert; Wiz Khalifa & Winnie Harlow



Inasemekana rapper Wiz Khalifa yuko kwenye mahusiano ya kimapenzi na fashion model kutoka Canada, Winnie Harlow. Baada ya kuonekana kuwa karibu sana kwenye matukio tofauti kwa muda wa mwezi mmoja. Leo Wiz Khalifa kwenye ukurasa wake wa Instagram ameweka picha akiwa na Winnie na caption yenye ujumbe wa mapenzi
.
ME: “YOU CARE WHAT ANYONE THINKS🤔”
HER: “NAW NOPE 😝‼️”
❤️WINNIE & WIZ❤️
.
.
Wiki iliyopita Wiz Khalifa aliachia album mpya "Rolling Papers 2" na huenda ikawa ni kiki na kuipa boost album hiyo sokoni. Siku 4 nyuma Winnie kupitia insta story aliweka picha yake na shingoni alikua amevaa chain ya Wiz Khalifa.
.

0 comments:

Post a Comment