Kiongozi Korea Kaskazini, Kim Jong Un kwa mara ya kwanza ameamua kuungana na rais wa Korea kusini Moon Jae In kwaajili ya kuhudhuria kikao cha maridhiano baina ya mataifa hayo mawili.
Wachambuzi duniani wanadai kuwa ni jambo la kihistoria kwa viongozi nchi mahasimu kukutana kwani mara ya mwisho kwa viongozi wa nchi hizo kukutana ilikuwa ni mwaka 1953 baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe.
.
0 comments:
Post a Comment