Msanii maarufu wa Pop Janet Jackson ameonekana nkuwa karibu sana na mpenzi wake wa zamani Jermaine Dupri jambo ambalo linaonesha kurudiana kwao.
Chanzo kimoja cha habari kinasema kuwa walianza kama marafiki na sasa wanaonana mara kwa mara kitu kilichopelekea taarifa kuvuja kuwa ni wapenzi.
Janet na
Jermaine waliachana mwaka 2009 baada ya miaka 7 pamoja na Janet aliolewa
na bilionea Wissam Al Mana na ndoa yao ilivunjika April 2017 baada ya
miaka mitano kwenye ndoa.
Janet na Wissam wana mtoto mmoja wa kiume Eissa Al Mana.
Chanzo kimoja cha habari kinasema kuwa walianza kama marafiki na sasa wanaonana mara kwa mara kitu kilichopelekea taarifa kuvuja kuwa ni wapenzi.
0 comments:
Post a Comment