Mhudumu wa ndege ajeruhiwa vibaya baada ya kuanguka kutoka kwenye mlango wa dharura wa ndege ya shirika la Emirates katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe
Mhudumu huyo aliyeanguka Jana(Jumatano), alikimbizwa hospitali akitokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe, karibu na mji mkuu Kampala
Mazingira ya kuanguka kwake yanaendelea kuchunguzwa, huku kukiwa na ripoti za kukanganya kuhusu tukio hilo
Hata hivyo, shirika hilo la ndege limethibitisha kutokea kwa ajali hiyo
0 comments:
Post a Comment