Sunday 29 April 2018

Askofu Malasusa katika kipindi kigunu



Baraza la Maaskofu wa KKKT lamtenga, Askofu wa Kanisa hilo Dayosisi ya Mashariki na Pwani(DMP), Dkt. Alex Malasusa

 Kanisa limemtuhumu kwa kusaliti waraka uliotolewa na Baraza hilo wakati wa mfungo wa Kwaresma

Kiini cha tuhuma hizo za Usaliti dhidi Askofu Malasusa kinaelezwa kuwa ni uamuzi wake wa kuzuia waraka wa Pasaka ulioandaliwa na Maaskofu 27 wa KKKT usisomwe katika Dayosisi ya Mashariki na Pwani anayoiongoza

0 comments:

Post a Comment