Sunday 29 April 2018

Bangi yahalarishwa nchini Zimbabwe



Nchini Zimbabwe Kilimo cha zao la bangi kimehalalishwa kisheria katika nchi hiyo kwa ajili ya kutumika kama dawa na kwenye mambo mengine ya kisayansi

Kwa mujibu wa Serikali kupitia taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya imesema watu binafsi na taasisi zinaweza kuanza taratibu za kupata lesini kwa ajili ya kilimo hicho

Zimbabwe inakuwa nchi ya pili barani Afrika kuruhusu kilimo hicho baada ya Lesotho kuruhusu mnamo Septemba 2017. Nchi za Malawi na Ghana zinaangalia namna ya kuhalalisha kilimo hicho

0 comments:

Post a Comment