Friday 27 April 2018

Bill Cosby ahukumiwa miaka 10 Jela kwa ubakaji



Mwigizaji mkongwe kutoka nchini Marekani,Bill Cosby amekutwa na hatia leo baada ya kushutumiwa kwa muda mrefu kwa makosa ya ubakaji.

Cosby mwenye miaka 80, ambaye ilisadikika kuwa mwaka 2004 alitumia madawa ya kulevya kumpa mwanamke aitwaye Andrea Contant na kisha kumbaka.

Mzee huyo atatumikia kifungo cha miaka kumi na faini ya dola za kimarekani 25,000.

0 comments:

Post a Comment