Friday 27 April 2018

Prince Harry amuomba kaka yake kuwa msimamizi wake



Bwana harusi mtarajiwa kutoka katika familia ya kifalme Prince Harry amemuomba kaka yake Prince William kuwa msimamizi wake katika harusi yake itakayofanyika mwanzoni mwa mwezi wa tano.
 

Msemaji wa familia amethibitisha hayo huku akisema kuwa Prince William amekubali kumuunga mkono mdogo wake.

0 comments:

Post a Comment