Friday 13 April 2018

Familia ya Kardashian imetoa msimamo kwa Khloe kusalitiwa



Familia ya Kardashian yamwachia Khloe afanye maamuzi na kumuunga mkono kwa kile atakachofanya baada ya kusalitiwa na mpenzi wake Tristan Thompson akiwa na ujauzito bado.

Tristan amemsaliti Khloe kwa kulala na wanawake wawili hotelini wakati mpenzi akiwa nyumbani ni mjamzito. Mpaka sasa Khloe hajaongea chochote baada ya tukio hilo.

0 comments:

Post a Comment